BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jinsi ya homa ya ini aina "D" inavyosababishwa.

Aina D mara nyingi hutokea kwa waathirika wa aina B ya homa ya Ini. Kwa kifupi kabisa,virusi wanaosababisha homa ya Ini aina D hawawezi kuzaliana bila uwepo wa virusi aina B.

Homa ya ini ni Hatari!
IMEANDIKWA NA DK.HARUN MMARI
0625-940497

Post a Comment

0 Comments