Kama
leo hii ungekuja kwangu na kuniuliza unataka ushauri wa maisha wa dakika moja
tu ambao lakini utakusaidia kufanikiwa, ningekupa ushauri huu. Kila wakati kuwa
tayari kwa mambo haya KUFANYA KAZI SANA, JIANDAE KUKUTANA NA
CHANGAMOTO na KUACHA KILA AINA YA UZEMBE, ukitenda hayo mafanikio yako
utayapata, hakuna ubishi ni lazima mafanikio yapatikane.
Wako rafiki katika mafanikio Imani Ngwangwalu
dirayamafanikio@gmail.com

0 Comments