BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Namna sahihi ya kupima mafanikio yako


Kipimo cha mafanikio yako kipo kwako wewe mwenyewe na wala hakipo kwa mtu mwingine. Njia pekee itakayokufanya uweze kupima mafanikio yako ni kwa kwewe kuangalia hatua unazozipiga kulekea kwenye mafanikio hayo.

Mafanikio yako hayapimwi kwa kuangalia mafanikio ya mtu mwingine. Bali mafanikio yako yanakuja kwa sababu ya zile hatua zako mwenyewe unazotakiwa uzipige kila siku kuelekea kwenye mafanikio.

Kumbuka kila siku hili, chukua hatua kila siku za kuelekea kwenye kile unachokifanya. Usijali wala usiangalie ikiwa unachukua hatua kidogo, kitu cha msingi chukua hatua kwani hicho ni kipimo cha mafanikio yako.

Wako rafiki katika mafanikio;

Imani Ngwangwalu

dirayamafanikio@gmail.com


Post a Comment

0 Comments