BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Mafanikio ya kweli hupimwa kwa kitu hiki.

Maisha ya mafanikio hayapimwi kwa wingi kwa idadi ya christimasi ulizokula, wala maisha hayapimwi kwa miaka uliyoikumbatia viganjani mwako bali maisha ya mafanikio hupimwa kwa kutazama yale ambayo umeyatimiza kwa kuangalia makusudio ya kuumbwa kwako katika sayari ya dunia. 

Kwa kutazama yale uliyokwisha kuyatimiza basi  katika mambo hayo, yakupasa uache alama mara baada ya kufa, hii ikiwa na maana kuwa watu waliobaki basi wakumbuke kwamba ulifanya nini enzi za uhai wako. 

Uwezo mkubwa ambao mwenyezi Mungu amekuumba nao usiuache uende zake bure bali unapaswa kuufanyia kazi.

Ndimi Afisa Mipango: Benson Chonya

mafanikioapp@gmail.com

0747-030303


Post a Comment

0 Comments