BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Kujiamini ni mwanzo wa mafanikio.



Siri kubwa iliyopo kwenye maisha ni kule kwako wewe kujiamini, unaweza ukafanya kitu fulani na ukafanya kweli. Acha kutafuta mafanikio halafu huku ukiwa unaishi kwenye hofu kubwa, hautafika mbali. 

Anza kujiamini kwa mambo ambayo unafanya na ambayo utayafanya, kisha utaona mafanikio yake. Hakuna kitu kitakachokuzuia kufanikiwa ukijiamini, kwani utafanya kwa ufanisi mkubwa sana kuliko unavyofikiri na hatimaye utafanikiwa.

Wako rafiki katika mafanikio Imani Ngwangwalu

dirayamafanikio@gmail.com


Post a Comment

0 Comments