BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jifunze kuwa mtu wa namna hii ili kupata matokeo makubwa.

Wakati mwingine unapaswa kuelewa kuwa kufanikiwa ni haki yako ya msingi, Pia mwenyezi Mungu alipokuumba alikuumba kwa makudio maalumu, hivyo kila wakati jifunze kujua makusudio ya kuubwa kwako kisha uyatekeleze makusudio hayo.

Pia ikumbukwe kuwa maisha yetu ya mafanikio hayatokani na wingi wa maneno ambayo tunayaongea bali yanatokana na mambo tunayotenda.

Wanadamu wengi wana wingi wa maarifa wa mambo mbalimbali katika vichwa vyao, pamoja na wingi wa maarifa hayo ila chanagamoto kubwa ni katika kuyabadili mawazo hayo katika matendo.

Hivyo kuanzia sasa unatakiwa mtu wa vitendo au kwa kibantu (be a man of oction), ukifanya haya kila wakati basi taratibu utaona unapiga hatua za mafanikio.

Ndimi Afisa Mipango, Benson Chonya

mafanikioapp@gmail.com

0747-030303


Post a Comment

0 Comments