Kila
kitu unachokiona kwenye maisha chenye thamani, kinakuja au kipatikana kwa
gharama zake. Kama hautaweza kulipa gharama hizo, basi elewa kabisa, kitu hicho
cha thamani huwezi kukipata hata iweje.
Unatakiwa ujiulize ni vitu
au kitu gani cha thamani unachokitaka. Ukishakijua kitu hicho, tafuta gharama
za kulipa ili ukipate. Huwezi kukipata bila kutoa gharama, hakuna kitu cha bure
duniani. LIPA GHARAMA, UPATE UKITAKACHO.
Wako wafiki katika mafanikio: Imani Ngwangwalu.
dirayamafanikio@gmail.com

0 Comments