BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Fahamu jinsi mafanikio yanavyoumbwa

 


Kujenga mafanikio ni zoezi ambalo halitokei mara moja, ni zoezi ambalo linachukua muda na ni zoezi endelevu. Hivyo, acha kujidanganya kwa kutaka mafanikio makubwa na ya haraka. Kama unataka mafanikio hayo, utaishia pabaya. 

Jifunze kujiwekea malengo yako na kisha kuwa mvumilivu kusubiri ndoto zako zitumie wakati unaendeea kuchukua hatua kila siku. Lakini, kama unataka mafanikio ya haraka, huwezi kuyapata, mafanikio yanaumbwa, subiri uumbaji wa mafanikio yako.

Wako rafiki katika mafanikio Imani Ngwangwalu
dirayamfanikio@gmail.com

Post a Comment

0 Comments