Ubora wa maisha yako unatengenezwa na mambo makubwa mawili. Jambo la kwanza ni namna unavyowasiliana wewe mwenyewe ndani yako. Hapa nikiwa na maana ni kipi au kitu gani unachojiambia kila wakati ndani yako.
Pili, ubora wa maisha yako unatokana na jinsi unavyowasilina na watu wengine wa nje kwa ufasaha. Ukijua vizuri kudumisha mawasilino ya pande hizo mbili kwa uhakika, ujue ni lazima ufanikiwe.
0 Comments