Kama vile ambavyo kuna wakati unakuwa una njaa kubwa ya chakula, vivyo hivyo unatakiwa uwe na njaa kubwa sana ya mafanikio yako. Unatakiwa uwe na njaa kubwa ya kuona mipango yako inatimia. Ukiwa una njaa hii, utake usitake itakuongoza kufanya kila linalowezekana kufikia mafanikio yako na hakuna atakayeweza kukuzuia katika hilo
0 Comments