BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 


Unaweza kufanikiwa! Uwezo huo unao! TENA SI KWA VIWANGO VIDOGO BALI NI KWA VIWANGO VYA JUU KABISA.

Swali pengine ambalo unajiuliza, ‘itakuwaje kama nitashindwa? Itakuwaje, kama malengo yangu hayo niliyojiwekea ya mafanikio hayatatimia?’

Ikitokea umeshindwa hiyo ni sawa pia huna haja ya kusikitika, kwa sababu utakuwa umechukua hatua ya kukusaidia kukusogeza karibu na ndoto yako kuliko ungebaki na kutulia.

Acha kuogopa kuchukua hatua eti kwa sababu ya kujiuliza je, ikitokea nimeshindwa nitafanyaje, futilia mbali hofu ya kushindwa, hata kweli ikitokea  umeshindwa kama nilivyosema, hiyo pia ni hatua na utakuwa umejifunza kitu.


Post a Comment

0 Comments