BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 


Kama unataka kufanikiwa peke yako bila msaada wowote  kutoka kwa watu wanaokuzunguka, hiyo rafiki yangu ni sawa na kuwa katika mgodi wa dhahabu halafu unachimba kwa kutumia kijiko. Uwe na uhakika hutafika mbali sana, ni lazima utakwama tu.

Mafanikio pia ni matokeo ya jinsi tunavyoshirikiana na wengine ili kufikia mafanikio hayo. Acha ubinafsi, mafanikio hayajengwi na mtu mmoja, bali mafanikio yanajengwa na ushirikiano na watu wengie pia. Jenga mahusiano sahihi na wengine ili ufikie mafanikio makubwa na kwa uhakika.


Post a Comment

0 Comments