BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.



Ipo njia moja kubwa ya kukufanya ukawa hodari kwa kile unachokifanya, njia hiyo si nyingine bali ni kufanya kitu hicho kila siku bila kuacha.

Unapofanya jambo hilo kila siku, unatengeneza uhodari mkubwa sana ndani yako na mwisho wa siku unajikuta ni mshindi katika hilo eneo.

Jiulize unataka kuwa hodari katika jambo lipi? Ukishapata jambo hili ambalo unataka kuwa hodari, anza utekelezaji wa kulifanya jambo hilo kila siku na kwa juhudi zote. 


Post a Comment

0 Comments