Matajiri na maskini si kwamba wanatofautiana sana, wote karibu uwezo wao uko sawa ila tofauti hujitokeza kwenye kutumia maarifa. Kutokana na kutumia maarifa hapa ndipo utofauti ule wa nje unauona huanza kujitokeza.
Lakini usijidanganya ukaone matajiri kama wao ni watu special sana au wanakitu cha ziada sana, hakuna kitu kama hicho. Kikubwa wanajua namna ya kutumia maarifa na rasimali zinazowazunguka tena kwa ufasaha.
0 Comments