Mafanikio makubwa utayapata tu ikiwa wewe ni king’ang’azi wa mipango na malengo yako mpaka kuyatimiza. Katika maisha kuna mambo mengi ambayo huwa yanatokea na kutukatisha tamaa sana.
Bila kuwa king’ang’anizi ni rahisi sana kurudi nyuma na kukata tamaa na kuachana na ndoto zako. Kitu unachotakiwa kujua ni kutambua umuhimu wa kung’ang’ania mafanikio yako mpaka yatimie na siyo vinginevyo.
0 Comments